PICHA 3: Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kafunga ndoa leo Zanzibar

Sasa ni Mr. & Mrs, mbunge wa kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amemuoa mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyika Zanzibar
Share on Google Plus

About Emmanuel

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment